Huyu sio ni muafrika au anauraia wa uingerezaMechi inachezewa nyumbani kwao england lazima awe na mashabiki wengi
Mbn A. J kalewa fasta ivi
AZAM TV unapata TV1 ni ya Tanzania. Mpambano unaendelea, raundi ya sitaTv 1 tu! hakuna channel ingine hapa bongo itakayoonesha?
Naona kama huyu muingereza anaweza kushinda
Apigwe tuuuu!!Hii raundi ya tano Joshua alianza kwa mbwembwe akamaliza kinyonge tuzisu kumwombea