Anthony Joshua afanikiwa kumtwanga Wladimir Klitschko katika pambano la uzito wa juu

Joshua amelamba ardhi, Huyu babu klischoko sio wa mchezo mchezo
 
Joshua misuli mikubwa sana.Inaweza kuchangia kumfanya akawa slow
 
Huyu dogo hana uzoefu. Alipaswa ku buy time ili arudishe pumzi. Soon atachapika kama akiendelea kukomaa na counter attacks
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…