Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,356
- 38,922
Anashusha makonde mazito mazito natabiri roundi ya 10 atamtoa kwa koKachoka anaboa sana mapema hivi!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anashusha makonde mazito mazito natabiri roundi ya 10 atamtoa kwa koKachoka anaboa sana mapema hivi!!
Mkuu nmeeamkaaUnawezaje kulala kwa pambano kama hili? Mwenzio nimeweka na kupuliziwa dawa za usingizi na usingizi umekataa. Wameniwekea full kaput kabisa na usingizi umegoma.
Wamechoka woteSijui kama Joshua ataweza kumudu round zinazofuata
Raia wa uingereza huyoHuyu sio ni muafrika au anauraia wa uingereza
Ukoo wa Putin ni balaa aaah. Trump yupo hoiMajebu mazito mkuuu
Wamevitoa wap akat vmekatazwaNaoana wote hoi kama wamekunywa viroba
Kumbe nawe mpenzi wa boxing eeh?