TV 1 king'amuzi cha Azambaaasi nimelikosa hili
Watakuwa wameagiza vya magendoWamevitoa wap akat vmekatazwa
Mwingereza yuko home lazima atajweMbona Joshua anatajwa mwanzo mwisho?
Anakula vinonoMchumba wa Klitchiko mrembo
Pambano halina mvutoWanadonoana zile jab za zama za kina tyson hamna karne hizi.
Huyu klischoko siyo wa mchezo mchezoJoshua pumz hana
Mkuu kama haujawahi kuzivaa na kupanda ulingoni.hauwez jua uzito unatoka wapHizo groves si zimepimwa pia huzifanyia mazoezi sana tu. Mimi naona walikamia sana round za mwanzo