Anthony Joshua afanikiwa kumtwanga Wladimir Klitschko katika pambano la uzito wa juu

Anthony Joshua afanikiwa kumtwanga Wladimir Klitschko katika pambano la uzito wa juu

Anatakiwa Joshua arelax kidogo kwa kuzuia punch atafute pumzi ya kumalizia pambano kwa spidi kali la sivyo babu atamkalisha
 
Waingereza hawa wanaongelea rematch tayari kwa ajili ya wao AJ

Wameona kaingia round ya 8 ambayo hajawahi kufika.

Ha ha haaaaaaa
 
Hizo groves si zimepimwa pia huzifanyia mazoezi sana tu. Mimi naona walikamia sana round za mwanzo
 
Raundi ya nane imeisha ....tunaenda raundi ya tisa
 
Ya 7 wamezingua ila joshua anakimbilia sana kwenye kamba ila ya nane dogo katisha now ya 9
 
Back
Top Bottom