Guru Master
JF-Expert Member
- Jan 14, 2017
- 226
- 594
Acha ndg yng usitaje hcho kizazi Bruno,holyfield,lewis ah....leo hii tunakesha kumuangalia Joshua kweli? jamaa wameondoka na ngumi zao!Wanadonoana zile jab za zama za kina tyson hamna karne hizi.
Amezoa KO huwa anamaliza mchezo mapema, sasa leo huyu mkongwe amejitahidi asidondoke mapema ili amchoshe Joshua.Joshua pumz hana
Acha ndg yng usitaje hcho kizazi Bruno,holyfield,lewis ah....leo hii tunakesha kumuangalia Joshua kweli? jamaa wameondoka na ngumi zao!
Meaning what?Klitchiko 10-9 Joshua
Babu anashindwa kwa points hii game hakuna ko!Itaisha draw
HajamtoaAnashusha makonde mazito mazito natabiri roundi ya 10 atamtoa kwa ko