Anthony Joshua afanikiwa kumtwanga Wladimir Klitschko katika pambano la uzito wa juu

Anthony Joshua afanikiwa kumtwanga Wladimir Klitschko katika pambano la uzito wa juu

Raundi tisa imeisha..... binafsi Mpaka sasa bila bila japo mzungu kazidi kidogo tu
 
Duhhh....round zatembea fasta sana...
 
Ingekuwa enzi zile za tyson mechi ishaisha zamaani,na watazamaji washarudi majumbani
 
Raundi ya kumi imeisha....hawa wanatoka droo
 
Back
Top Bottom