Mtoa mada umeeleza mengi ila me nikwambie kitu kimoja hakukuwa na uweusi wala uzungu,binafsi me nilikuwa timu Vladimir na bado sijabadili mawazo yangu,post fight interview AJ aliongea kitu facts kabisa ngumi ni mchezo open hauna ujanja Ujanja,ukiingia ulingoni ukweli wote pale,Dogo ameshinda tena well deserved victory na sababu za ushindi wake hapo ndio motisha ya u home ground inakuja,kulikuwa na back up ya watu wengi hawakutaka Aj apotee,Unamkumbuka yule bondia aliesema I had to shout to AJ to fight hard n fast Coz Vladimir is stable so punch harder n quicker to kill the game.Pale ndio ilikuwa turning point,kama unamjua Vladmir ukienda nae round nyingi lazima ukae ndiomaana hata alipoangushwa mara mbili alitaka aendelee afike 12 rounds maana kabla ya upper cut score board ilikuwa upande WA Vladimir.
Hitimisho dogo kashinda kihalali washabiki wamechangia kumfanya dogo apambane maana round ya 6 ingekuwa Vladimir WA miaka 6 iliyopita Aj angekuwa hospital now ila Vladimir kazeeka hata mwili sio ule tena so hongera Aj ila Kuna mmarekani anamkwepa noma zaidi ya Furry,anakimbilia kwa furry ili ashinde tena again popularity amsake yule mnyamwezi ngoja nikumbuke jina Lake nitaedit hapa niliweke.