Jamaa kapigwa..nyingine hadithi tuRound ya 11 mtu alikua upoer cut akaona nyota nyota. AJ ndio bondia bora kwa sasa.
Naona sasa mnaanza kuBwabwaja kama vibibi viuza ugoro... You dont know what happens in the ring..Ni kweli mkuu, yaani ile round ya 5 hata ningeingia Mimi ningemaliza mchezo, maana AJ pumzi ilikata hata kutembea ilikuwa tatizo, na mikono ilikuwa haichomoki kabisa. Kwa uzee wake akambwelambwela weeee hadi Dogo aka-recover.
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Ni kwelii inaweza kuwa pumzi ilitaka kukata ile round ya 5 lakin ukifatilia alitoka kupga konde za mfululizo hajakaa hajavuta pumzi vizuri alikuja kutana na konde zito lilimlegeza sana na nadhan katika mapambano yake 18 hajakutana na konde zito ka lile ko lazima ulegee uonekane kama umepotea fans wengi wa joshua ile round tukajua tumepgwa.... lakin usinambie sio bondia mzuri kwa kigezo cha pumzi tuJoshua ameshinda lakini ukweli utabaki ukweli sio bondia mzuri anakata punzi mapema ni mzito na mvivu.....kinachombeba ni vitu viwili cha kwanza ni ujasiri akiamua kushambulia anashambulia kweli na hampi mpinzani wake nafasi ya kujipanga na kingine ni dogo ana ngumi nzito sana....................anahitaji kufanyia kazi sana mapungufu yake round ya tano alichoka mno yaani alishakata tamaa sijui kwa nini klitsko na uzoefu wake wote alishindwa kumaliza pambano pale
Joshua hana pumzi.......mapambano yake yote hajawahi kufika raundi ya 6 anamaliza sababu anajijua matatizo yake ya kuchoka...raundi ya 7,8,9,10 alijitahidi kutafuta pumzi ya 11 ndio akamalizaHakuchoka mkuu bali alipigwa ngumi ya kidevu network ikakata. Alikua anaombea kengele ilie tu.
Donteiy wilder nadhaniMtoa mada umeeleza mengi ila me nikwambie kitu kimoja hakukuwa na uweusi wala uzungu,binafsi me nilikuwa timu Vladimir na bado sijabadili mawazo yangu,post fight interview AJ aliongea kitu facts kabisa ngumi ni mchezo open hauna ujanja Ujanja,ukiingia ulingoni ukweli wote pale,Dogo ameshinda tena well deserved victory na sababu za ushindi wake hapo ndio motisha ya u home ground inakuja,kulikuwa na back up ya watu wengi hawakutaka Aj apotee,Unamkumbuka yule bondia aliesema I had to shout to AJ to fight hard n fast Coz Vladimir is stable so punch harder n quicker to kill the game.Pale ndio ilikuwa turning point,kama unamjua Vladmir ukienda nae round nyingi lazima ukae ndiomaana hata alipoangushwa mara mbili alitaka aendelee afike 12 rounds maana kabla ya upper cut score board ilikuwa upande WA Vladimir.
Hitimisho dogo kashinda kihalali washabiki wamechangia kumfanya dogo apambane maana round ya 6 ingekuwa Vladimir WA miaka 6 iliyopita Aj angekuwa hospital now ila Vladimir kazeeka hata mwili sio ule tena so hongera Aj ila Kuna mmarekani anamkwepa noma zaidi ya Furry,anakimbilia kwa furry ili ashinde tena again popularity amsake yule mnyamwezi ngoja nikumbuke jina Lake nitaedit hapa niliweke.
kuwa bondia mzuri ni pamoja na kuhimili vishindo vya makonde makali na uwezo wako wa kukepa makonde.....vitu ambavyo Joshua hana.! ....kinachombeba ni uzito wa makonde yake na uwezo wake wa kushambulia mfululizo..!...Klitscho atajilaumu sana kupoteza hili pambano alitakiwa alimalize raundi ile ya tano dogo alishasurrenderNi kwelii inaweza kuwa pumzi ilitaka kukata ile round ya 5 lakin ukifatilia alitoka kupga konde za mfululizo hajakaa hajavuta pumzi vizuri alikuja kutana na konde zito lilimlegeza sana na nadhan katika mapambano yake 18 hajakutana na konde zito ka lile ko lazima ulegee uonekane kama umepotea fans wengi wa joshua ile round tukajua tumepgwa.... lakin usinambie sio bondia mzuri kwa kigezo cha pumzi tu