[emoji1] Muda wa Wladimir umeisha.....watu hawataki mabadilikoWladimir Klitschko mapambano yake ya nyumbani huwa anapigania Ujerumani, na pambano la mwisho kabla ya jana alipigwa na Tyson 'Gypsy King' Fury huko huko Ujerumani. Wladimir kashaisha, mtu kapigwa kwa TKO mtu unaleta ushabiki.
Ni kawaida kwa dunia ya sasa usipende kukalili kwamba ubora wa kina tyson utaendelea kuonekana... the same kwa football huwez pata level za kina gaucho kwa sasa....Sijaona pambano la maana hapa, wala sijaona boxer hapa.
Mtu ana miaka 41 bado unamsubirisha hadi raudi ya 11, tena akiwa anaongoza kwa point?
Antany hakuna kitu, basi tu zali imemdondokea ila hauna kitu, hata kwa waingereza kina Player boy, Haye au Fury sidhani kama atatoka.
Baada ya Lenox Lewis sijaona tena boxer mwingine miaka ya hivi karibuni.
Boxers wangu wa muda wote ni Smoking Joe Frazier, Tysn, Lewis na kidogo Money ingawa aliniudhi sana kupaki basi mechi yake na mfilipino.
Haya tunayaongea kwa sababu tuko nje ya ring ile round si ndo klitschko alilamba sakafu ujue na yy pumz ilikata ko alikuwa anavuta pumzi... Mm nadhana AJ atakuwa kajifunza kitu na kapata uzoefu wa kutosha kabisa kwamba next time anakutana na mtu ka WK anajipangaje...kuwa bondia mzuri ni pamoja na kuhimili vishindo vya makonde makali na uwezo wako wa kukepa makonde.....vitu ambavyo Joshua hana.! ....kinachombeba ni uzito wa makonde yake na uwezo wake wa kushambulia mfululizo..!...Klitscho atajilaumu sana kupoteza hili pambano alitakiwa alimalize raundi ile ya tano dogo alishasurrender
Duh [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Rio Ferdinand Na Arnold Schwarzenegger ndani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyu Klitschko na Bukta yake ya mianane lazima apigwe
Wangekuwa uzito sawa AJ asingewezaa kumkalisha mayweatherJoshua anatakiwa akachape na kale ka Meiweza kale kudadek
kwa nini?.Hii gemu imeniuma sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mi nionesheni tu picha ya mshindi ili nimjue kwanza alafu nitachangia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Chadema wamedundwa
AJ akishinda huwa anasema hivyo au?Nimefurahi kijana mwenzangu,Muafrica mwenzangu umeshinda pambano "gumu" kwani huyo mzungu tunamjua,pambano ambalo kila mtu na hata sisi weusi wenzio tulijua unakalishwa hasa pale ulipolegezwa Na makombora mazito ya yule mzungu.
Kiufupi unajua kuzichapa ila ombi langu kama unajua kiswahili Mimi ndugu yako katika "Ngozi" naomba hebu Nenda kalifanyie kazi swala la "pumzi" usije ukatutia aibu ..pumzi huna kabisa Mkuu.
Ww mwenyewe unajua kwamba sifa yetu africa imebaki ktk ngumi tu kutengeneza "missiles" hatujajaaliwa bado.Yaani pambano la Leo kama ungekutana Na mtu kama Tyson, Haya maneno yako "Can I go home" ungeenda kuyatamkia hospitalini St Thomas.
DuuhFury sio mkali kivile anaweza chapwa na AJ, alizichapa na Klitschko akasinda kwa UD while AJ kamshinda kwa KO.
Fury ana 25 games kashinda 18 kwa KO na AJ ana 19 KO.
Wilder huyo ni namba chafu ana 38 games 37 KO 1 UD na 18ni KO Za 1st round. Alitaka kumua mtu ulingoni huyo.
Mayweather mashine nyingine ile.Sijaona pambano la maana hapa, wala sijaona boxer hapa.
Mtu ana miaka 41 bado unamsubirisha hadi raudi ya 11, tena akiwa anaongoza kwa point?
Antany hakuna kitu, basi tu zali imemdondokea ila hauna kitu, hata kwa waingereza kina Player boy, Haye au Fury sidhani kama atatoka.
Baada ya Lenox Lewis sijaona tena boxer mwingine miaka ya hivi karibuni.
Boxers wangu wa muda wote ni Smoking Joe Frazier, Tysn, Lewis na kidogo Money ingawa aliniudhi sana kupaki basi mechi yake na mfilipino.
Ni kweli AJ is currently undefeated, but has a lot to learn in this business, if Klitschko was brave enough to come out fully in the 5,6 &7th round he could won the fight. Don't tell me I don't know what happens in the ring while I have been watching the game for more than half my life time!! So shut up!!!!Naona sasa mnaanza kuBwabwaja kama vibibi viuza ugoro... You dont know what happens in the ring..
Give credit and shut.
AJ is unbeatable.
I have nothing to say in Mourinho's voice......kwa nini?.
Ila klitshko anatia huruma sana .
Jifunze kuandika vizuri ndio uje kubishana na mimi.kukalili ....
I think this unification bout should be scheduled after 2 years so that to allow AJ to mature into a competitive boxer! Earlier than that it is going to be catastrophy to the Briton!Deontay “the bronze bomber” wilder vs anthony joshua “AJ” ,nadhani hili pambano litakuwa ni gharika,binafsi nampa alama za ushindi deontay wilder
Myweather ndo hakuna kitu anaruka ruka tu uwanjani anambia , ngumi za piga nikipige haweziMayweather mashine nyingine ile.