Anthony Joshua afanikiwa kumtwanga Wladimir Klitschko katika pambano la uzito wa juu

Joshua yuko vizuri!
Hapa chini ni mapigano yake kumi bora
====
Halafu aliposhinda Mnamibia na kuchukua mikanda mitatu ya dunia kwa mpigo kwa kumpiga mscotsh mbona hamkushangailia hivi?

 
Joshua angekuwa mmarekani Hyo coverage ya Hili pambano ingezima ule mtokoto unaoendelea kwa Kim mapank
 
Mapambano 19
Kashinda 19
Kapigwa 0

Bado unakutana na Comment kama hii. Kweli watu wana stress.
 
mkuu umeongea kishabiki sana ukionesha mahaba yako kwa wlad, ni vyema maana wewe ni mshabiki mkubwa wa wlad na ni kweli kabisa Joshua ana mapungufu mengi na watu huwa wana muita myanyua vyuma anaejua kurusha ngumi kwa kweli ana mapungufu mange na kama unaifuatilia heavy weight division vzr kuna watu wazuri sana ambao huyu wlad akikutana nao sijui kama atatoka salama kuna watoto wenye speed na uwezo mzuri kama Joseph parker japo watu hawa muongelei sana kuna mwenzie izu kuna king kong( Luiz Ortiz) kuna wilder na wengine wengi ambao naamini wana uwezo kuliko huyu Joshua lakini wlad nae ana mapungufu yake na aina ya guard yake anayoitumia akikutana na watu wenye upper cut nzuri hatoboi ila akijirekebisha anaweza kuwa vzr pia mwili wake ni wa asili hivyo ana kazi ya ziada kuhakikisha ana yafanyia mapungufu yake kazi kabla ya rematch kama itakuweo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…