Anthony Joshua afanikiwa kumtwanga Wladimir Klitschko katika pambano la uzito wa juu

Dah! Mbona wanachelewa kuanza, kausingizi kananinyemelea na kusimuliwa sitaki.
 
Shukrani sana kwa huu Uzi yaani ilikuwa nilale asee, nko mubashara sasa hivi
 
Asante maana nlikata tamaa siioni maana nna Azam dish
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…