Gwakukahja
JF-Expert Member
- Sep 26, 2015
- 1,119
- 738
Wale jamaa wamechemka kwa kifupi walikuwa hawana uhakika na wakawaongopea watu na bado hawajatoa ufafanuz wowote naomba TCRA waliangalie hiloo...mpaka sasa naona kimya...sijajua kama ntaona mtanange huu ... na walisisitiza kwenye page yao kuwa watarusha saa mbili usiku