Anthony Joshua afanikiwa kumtwanga Wladimir Klitschko katika pambano la uzito wa juu

Anthony Joshua afanikiwa kumtwanga Wladimir Klitschko katika pambano la uzito wa juu

mpaka sasa naona kimya...sijajua kama ntaona mtanange huu ... na walisisitiza kwenye page yao kuwa watarusha saa mbili usiku
Wale jamaa wamechemka kwa kifupi walikuwa hawana uhakika na wakawaongopea watu na bado hawajatoa ufafanuz wowote naomba TCRA waliangalie hiloo...
 
Back
Top Bottom