Anthony Joshua afanikiwa kumtwanga Wladimir Klitschko katika pambano la uzito wa juu

Anthony Joshua afanikiwa kumtwanga Wladimir Klitschko katika pambano la uzito wa juu

Hata hawa TvI siwamini kabisaa...
 
kuna Pambano Kubwa sana La Ngumi Kati ya Anthony Joshua wa Uingereza atapigana Klitschko Bonge la Game. Anthony Joshua ni Dogo mwenye miaka 27 na Mrusi Klitschko ana miaka 41 lakini Ngumi hazina cha Umri bana ndo maana kuna watu kibao hata humu mnatandikwa na Watoto wadogo.


IMG_20170428_222303.jpg

IMG-20170428-WA0001.jpg


IMG-20170428-WA0002.jpg
 
Lazima mmoja akalishwe.....
Ngumi za heavy weight zimerudi ktk Level zake

Ova
 
Km DSTV hawaonyesh naomba uweke link ya live streaming ukiipata
 
George Foreman mmoja ya mabingwa ambao hawawez sahaulika kwenye Masumbwi. Yeye anasema Mchezo mgumu sana. Anasema Athony ana speed ana nguvu lakini hana uzoefu mkubwa ukimlinganisha na klitschko ambaye huwa anautumia mwili wake vizur kuwachosha wapinzani wake. Huku akiwa na advantage nzur ya mkono wake wa kushoto wenye nguvu.
 
Deontay wilder anasema moyo wake upo kwa anthony joshua na akili yake ipo kwa Klitschko. Haamin kama joshua yupo tayari kwa wakati huu kupambana na klitschko ukichukulia kuw huyu m ukrianian ana uzoefu mkubwa sana amepambana mapambano mengi sana

hamjui huyo mrusi
 
Jamani mpaka sasa hakuna chanel ya ndani itayoonyesha.?
 
Back
Top Bottom