Anthony Joshua afanikiwa kumtwanga Wladimir Klitschko katika pambano la uzito wa juu

Anthony Joshua afanikiwa kumtwanga Wladimir Klitschko katika pambano la uzito wa juu

Raundi ya sita imeisha ila huyu klischoko inaonekana sio wa mchezo mchezo anatumia uzoefu wake wa nyuma.

Tuzidi kumbe Joshua
 
Joshua anafufua matumaini kwa mashabiki wake
 
Yawezekana dogo alilewa sifa. Ana makonde mazito lkn pumzi sifuri. If Babu has to win, asiruhusu dogo aka regain strength.
 
Raundi ya saba imeisha, ila hapa wamepapasana tu .....Tuzidi kumwombea Joshua
 
Back
Top Bottom