Anthony Joshua atangaza kustaafu Ndondi kama atapigwa tena Jumamosi hii

Anthony Joshua atangaza kustaafu Ndondi kama atapigwa tena Jumamosi hii

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Joshua anayetarajia kuzichapa na Bondia Jermaine Franklin Aprili 1, 2023 ndani ya O2 Arena, jijini London ametoa kauli hiyo baada ya kuwa na matokeo mabaya ulingoni kwa muda mrefu.

Bingwa huyo mara mbili wa dunia atapanda ulingoni kutetea heshima yake baada ya kupigwa mara mbili na Oleksandr Usyk, huku pambano lake la mwisho kushinda likiwa Desemba 2020.

Joshua amesema "Hakika nitastaafu kama nitapoteza tena. Sipo hapa kushindana na watu, kama watu hawataki nipigane sitopigana. Sio suala la Pesa, ni ushindani uliopo ndani yangu.”

================

Anthony Joshua returns to the ring for the first time since losing to Oleksandr Usyk seeking his first professional win since 2020; the 33-year-old admitted he will retire from boxing if he is beaten by Jermaine Franklin at the O2 on Saturday.

Anthony Joshua says he will retire from boxing if he loses against Jermaine Franklin on Saturday at the O2 Arena.

The two-time world champion is making his return to the ring this weekend to face the American heavyweight after successive defeats to Oleksandr Usyk.

Joshua will be looking to win his first professional fight since December 2020 but has admitted he will step away from boxing if he loses a third successive bout.

SKYNEWS
IMG_2203.jpg
 
Back
Top Bottom