Juzi juzi dillian whyte alipigwa moja tu... watu wana mdharau pulev.. jamaa career yote kapigwa na Klitschko tuYes AJ ana nafasi kubwa ya kumpiga tena kwa KO. Japo kwenye heavyweight lolote linaweza kutokea, one punch can change everything
Hakuna Mkuu, Amini usiamini sshv Fury akirudiana na Wilder atachakazwa, jus wait na u mark hii comment yanguTyson Fury ndio kipimo tosha, huyo Wilder hana lolote kelele nyingi tu.
Tushazoea maneno ya kumpamba huyo wilder but hamna kitu, Fury alikaa nje ya ulingo kwa muda mrefu lakini alivorejea ulingoni wilder hakufua dafu ikawa ngoma draw, ikapigwa wilder fury 2, wilder kapigwa almanusra kufa ulingoni, afu leo hii unaleta porojo atampiga fury, toka lini?Hakuna Mkuu, Amini usiamini sshv Fury akirudiana na Wilder atachakazwa, jus wait na u mark hii comment yangu
Mkuu hii link haitazingua maaana ndo natak niwe natumia muda wote hiiKwa wazee wa streaming njooni hapa tujumuike kwa pamoja, ingia hii link game kubwa zote za Boxing utakuwa unaziona live buuure Boxing Streams Live
App yake hamna mkuu na je bundle wastan wa gb ngap per 12 roundsNatumia mwaka mzima haijawahi nisumbua, bundle lako tu
Hakuna app, ukianza kuulizia kiasi cha bundle hiyo link haikufai[emoji1], inakula vizuri tu. Ila mimi huwa najiunga kifurushi cha 2000 Tigo 2.5 Gb nakuwa na uhakika wa kuangalia Main Event bila pressureApp yake hamna mkuu na je bundle wastan wa gb ngap per 12 rounds
Tv ipi wanaonyesha?
Round ya ngapi? Au kwa points?And still....., Sema AJ kamchelewesha sana huyu mjinga[emoji1]View attachment 1648470
Raundi ya 9.Round ya ngapi? Au kwa ponts?