Anthony Joshua kurejea ulingoni Jumamosi hii

Anthony Joshua kurejea ulingoni Jumamosi hii

Juzi juzi dillian whyte alipigwa moja tu... watu wana mdharau pulev.. jamaa career yote kapigwa na Klitschko tu
Yes Povetkin walikuwa wanamuita mzee, akawajibu na uppercut[emoji1]
 
Hivi litapigwa saa ngapi? Kwasaa za Tanzania?
 
Tyson Fury ndio kipimo tosha, huyo Wilder hana lolote kelele nyingi tu.
Hakuna Mkuu, Amini usiamini sshv Fury akirudiana na Wilder atachakazwa, jus wait na u mark hii comment yangu
 
Hakuna Mkuu, Amini usiamini sshv Fury akirudiana na Wilder atachakazwa, jus wait na u mark hii comment yangu
Tushazoea maneno ya kumpamba huyo wilder but hamna kitu, Fury alikaa nje ya ulingo kwa muda mrefu lakini alivorejea ulingoni wilder hakufua dafu ikawa ngoma draw, ikapigwa wilder fury 2, wilder kapigwa almanusra kufa ulingoni, afu leo hii unaleta porojo atampiga fury, toka lini?
 
Saivi tunaisubiriri AJ VS FURRY , huyo wilder akapigane na akina chisora kwanza , na asiombe akutane na mnigeria AJ , atapigwa kipigo cha mbwa koko
 
Baada ya kumalizana na Manchester Derby turudi huku...
 
App yake hamna mkuu na je bundle wastan wa gb ngap per 12 rounds
Hakuna app, ukianza kuulizia kiasi cha bundle hiyo link haikufai[emoji1], inakula vizuri tu. Ila mimi huwa najiunga kifurushi cha 2000 Tigo 2.5 Gb nakuwa na uhakika wa kuangalia Main Event bila pressure
 
Soon...
eddiehearn_20201213_005613_0.jpg
 
And still....., Sema AJ kamchelewesha sana huyu mjinga[emoji1]
daznboxing_20201213_023221_0.jpg
 
Back
Top Bottom