Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mbunge wa jimbo la Dodoma Mjini na Waziri wa Madini Tanzania Mhe. Anthony Peter Mavunde ameelezea baadhi mipango mikubwa ambayo ameitekeleza ambayo imekua ikiwatatiza wananchi wa Mkoa wa Dodoma pia ameelezea mipango ambayo anakwenda kuitekeleza hivi Karibuni wakati akimalizia utumishi wake wa uongozi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025