Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
HakikaKwa kauli hizo akaombe kura za ubunge kwa wanawake
Hakujenga Samia? Mavunde jiangalie sana!Mbunge wa jimbo la Dodoma Mjini na Waziri wa Madini Tanzania Mhe. Anthony Peter Mavunde ameelezea baadhi mipango mikubwa ambayo ameitekeleza ambayo imekua ikiwatatiza wananchi wa Mkoa wa Dodoma pia ameelezea mipango ambayo anakwenda kuitekeleza hivi Karibuni wakati akimalizia utumishi wake wa uongozi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kajenga yeye maana kachoka kumsifia mama yake kila siku 😀Hakujenga Samia? Mavunde jiangalie sana!
Ngoja Mchengerwa amsikieKajenga yeye maana kachoka kumsifia mama yake kila siku 😀
Fedha katoa Mama !.Mbunge wa jimbo la Dodoma Mjini na Waziri wa Madini Tanzania Mhe. Anthony Peter Mavunde ameelezea baadhi mipango mikubwa ambayo ameitekeleza ambayo imekua ikiwatatiza wananchi wa Mkoa wa Dodoma pia ameelezea mipango ambayo anakwenda kuitekeleza hivi Karibuni wakati akimalizia utumishi wake wa uongozi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025