Anti Bilali: Huu Ushoga wangu nilirogwa, mwenye dawa anisaidie

Anti Bilali: Huu Ushoga wangu nilirogwa, mwenye dawa anisaidie

Duh, Kalogwa kupenda Dudu! Huo uchawi kweli wa kidigital!
 
yupo kinondoni nini au ilala tumpe stahili zake..
 
Madame B bana, hata kama alilogezewa lakini saizi keshazoea dudu huyo haaaah! Amrudie Mungu wake ndiyo njia sahihi.

Ndo anavodai ati alirogwa na jirani yao.
Hvyo tangu juzi anatupigia simu shost zake tumsaidie kumtafutia mganga.
 
Last edited by a moderator:
Ndo anavodai ati alirogwa na jirani yao.
Hvyo tangu juzi anatupigia simu shost zake tumsaidie kumtafutia mganga.

Yuko Kinondoni kajiegesha kwao.
Na bwana wake Mahmood mtoto wa Zenji ndo keshambwaga.
Mwaka huu atachambia steelwire.

Huyo Bilali ana kazi ka shost zake wenyewe anaowapigia simu wamsaidie ndo wanakuja kumnanga humu kweli kazi ipo
 
Bilali nae ndo anashtuka leo kwamba amerogwa siku zote hizoooo alikuwaga wapi...........?
 
Akachome sindano ya kuongezaTestosterone au anywe dawa za wanamichezo wa kiume za kuongeza nguvu.Ikitokea nakuwa rahisi wa nchi hii ni lazima Mashoga wote wachomwe hii sindano na wasagaji wachomwe na ile ya oestrogen
 
Back
Top Bottom