Anti Bilali: Huu Ushoga wangu nilirogwa, mwenye dawa anisaidie

Attachments

  • uploadfromtaptalk1366810033785.jpg
    uploadfromtaptalk1366810033785.jpg
    46.5 KB · Views: 654
Babu wee, Mjini kuna ushosti, Ushosti kijijini mjini Umbea tu.

Huyu nae? naona mjini amekuja leo tena na gari la ndizi....ushoga wa kukutana hapa mjini nao ni ushoga? ajaribu kuangalia yanayoendelea kati ya wadada maselebriti wa hapa bongo daslam ndio atajua maana ya haya uliyomwambia.
 
ameshagegedwa vya kutosha ndo anaona leo kalogwa?
 
Huyu nae? naona mjini amekuja leo tena na gari la ndizi....ushoga wa kukutana hapa mjini nao ni ushoga? ajaribu kuangalia yanayoendelea kati ya wadada maselebriti wa hapa bongo daslam ndio atajua maana ya haya uliyomwambia.
kwiii yaani ukisoma mablog yao ..leo wanasifiana kesho sasa ni noma nomarooo
 
Hizi topic za umbea wa mjini zinavyopata wafuasi hahaha kusutwa pia tutakusaidia usijali Madame B
 
Last edited by a moderator:
Huyu nae? naona mjini amekuja leo tena na gari la ndizi....ushoga wa kukutana hapa mjini nao ni ushoga? ajaribu kuangalia yanayoendelea kati ya wadada maselebriti wa hapa bongo daslam ndio atajua maana ya haya uliyomwambia.

Ndo namshanga huyo Peace sijui of moyo kwari!
Mjini umbea, misuto, kuchukuliana mabwana, kubadili viwalo ndo mpango mzima.
Ushosti uko hukooo Tokomea Chole sijui Mtipwilipi!
Hapa ndo town, Ukiona unabanwa, unasogea.
Na ukiona kizuri ajue kimegharamiwa, byeeee
 
Heee huyo wala haponi tena..... Mrembo kuliko Madame B lol...... Aendelee tu hukumu yake ataikuta kesho kwa Mungu

sweetlady wala si bure una roho yangu ati!
Na bwana ake Mahmood mtoto wa Zenji keshambwaga, tutabanana nae uswazi sa hv,
haloooooo....ooo!!!
 
Last edited by a moderator:
Ndo namshanga huyo Peace sijui of moyo kwari!
Mjini umbea, misuto, kuchukuliana mabwana, kubadili viwalo ndo mpango mzima.
Ushosti uko hukooo Tokomea Chole sijui Mtipwilipi!
Hapa ndo town, Ukiona unabanwa, unasogea.
Na ukiona kizuri ajue kimegharamiwa, byeeee
ahahaaa madam b bana eti ukiona unabanwa unasogea ...ehehee chezeiya jiji la mataa wewe
 
Haaha hujajua bado kwamba mjini shuti msongambano na mbanano?uking'oka weye mwingine anadandia....kitu bandika bandua a.k.a mwendo mpera mpera
 
Ndo namshanga huyo Peace sijui of moyo kwari!
Mjini umbea, misuto, kuchukuliana mabwana, kubadili viwalo ndo mpango mzima.
Ushosti uko hukooo Tokomea Chole sijui Mtipwilipi!
Hapa ndo town, Ukiona unabanwa, unasogea.
Na ukiona kizuri ajue kimegharamiwa, byeeee

Huo ndio ushoga wa mjini, mambo mpera mpera ukimtua tunambebea bila mbeleko...chezeya wewe watoto wa mjini
 
Back
Top Bottom