Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupieni tupicha basi jamani, japo tusaminishe!
Babu wee, Mjini kuna ushosti, Ushosti kijijini mjini Umbea tu.
mbona mzuri hivo? dah anatushinda hata wanawakeMmh sijui kama harufu ya pepo tutakuja kuisikia kwa style hii
kwiii yaani ukisoma mablog yao ..leo wanasifiana kesho sasa ni noma nomaroooHuyu nae? naona mjini amekuja leo tena na gari la ndizi....ushoga wa kukutana hapa mjini nao ni ushoga? ajaribu kuangalia yanayoendelea kati ya wadada maselebriti wa hapa bongo daslam ndio atajua maana ya haya uliyomwambia.
Mmh sijui kama harufu ya pepo tutakuja kuisikia kwa style hii
Huyu nae? naona mjini amekuja leo tena na gari la ndizi....ushoga wa kukutana hapa mjini nao ni ushoga? ajaribu kuangalia yanayoendelea kati ya wadada maselebriti wa hapa bongo daslam ndio atajua maana ya haya uliyomwambia.
Hizi topic za umbea wa mjini zinavyopata wafuasi hahaha kusutwa pia tutakusaidia usijali Madame B
ahahaaa madam b bana eti ukiona unabanwa unasogea ...ehehee chezeiya jiji la mataa weweNdo namshanga huyo Peace sijui of moyo kwari!
Mjini umbea, misuto, kuchukuliana mabwana, kubadili viwalo ndo mpango mzima.
Ushosti uko hukooo Tokomea Chole sijui Mtipwilipi!
Hapa ndo town, Ukiona unabanwa, unasogea.
Na ukiona kizuri ajue kimegharamiwa, byeeee
ahahaaa madam b bana eti ukiona unabanwa unasogea ...ehehee chezeiya jiji la mataa wewe
Ndo namshanga huyo Peace sijui of moyo kwari!
Mjini umbea, misuto, kuchukuliana mabwana, kubadili viwalo ndo mpango mzima.
Ushosti uko hukooo Tokomea Chole sijui Mtipwilipi!
Hapa ndo town, Ukiona unabanwa, unasogea.
Na ukiona kizuri ajue kimegharamiwa, byeeee