Ndo anavodai ati alirogwa na jirani yao.
Hvyo tangu juzi anatupigia simu shost zake tumsaidie kumtafutia mganga.
Yuko Kinondoni kajiegesha kwao.
Na bwana wake Mahmood mtoto wa Zenji ndo keshambwaga.
Mwaka huu atachambia steelwire.
Babu wee, Mjini kuna ushosti, Ushosti kijijini mjini Umbea tu.
Kama una dawa msaidie.