Anti Bilali: Huu Ushoga wangu nilirogwa, mwenye dawa anisaidie

madame b.. lazma utakuwa unakisa na ant. bilali, si bure..

i knw the guy since mbuyuni primary, x-neiba kino,hajarogwa.

Midhambi niliyokuwa nayo tu nafungua kitabu kipya cha katiba, uniongezee na ya ant Bilal si unanitafutwia dhahma we sexologist!

Si unajua nina hamu ya kusutwa na mahasimu wangu akina C.T.U!
Mie Bilali namjua ukucha to unywele,
ukwapa to upapa.
Lolz.
 
Last edited by a moderator:
ahahaaa madam b bana eti ukiona unabanwa unasogea ...ehehee chezeiya jiji la mataa wewe

Chezeiya wanawake na malengo yao.
Mjini Rareeeeee.....!!!
 
Yawezekana kijambio kimeanza kutoa wadudu
 
Mwenyezi mungu atakusaidia yeye ni mwenye huruma ukimlilia kwa imani atakutoa utumwani humo pole mr bilali anza kujiponya mwenyewe kwa kumkataa pepo huyo mwambie mungu mwite mlilie nae atakuinulia macho inshallar.
 
hana lolote anatafuta soko

Umemsomaa vyema madame b, anasema eti ana bwana wake mzanzibari amempiga kibuti, sasa anatapa tapa. Huyu kweli si wa kuacha ila naona maisha yanampiga baada ya kuachwa ndo maana anatapa tapa
 
Ssa cku zote hakujua kama ameligwa....yuko mwenzake kule Tanga ametangaza kuacha ushoga kaishia kuvuta unga!!


Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Nini unga, juzi juzi nimemuona amekwisha na mipele ndo ishapiga hodi,yeye tu ndo anachelewa kuikaribisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…