Anti-NMDA receptor encephalitis

Anti-NMDA receptor encephalitis

mchawi88

Member
Joined
Nov 29, 2018
Posts
5
Reaction score
0
wakuu naomba msaada wa elimu juu ya huo ugonjwa na kama matibabu yake yanawezekana tanzania ama hapa afrika mashariki maana kuna ndugu yangu nahis anateseka nao ugonjwa huo japo watu wengine wote wanaamini wa wa moni wanaamini she's possesed by demons naombeni msaada wakuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
maelezo nmesoma sana na dalili zinaendana kwa asilimia kubwa ila nataman kusikia kama kuna mtanzania amepata tiba ya huu ugonjwa ndani ya nchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom