wakuu naomba msaada wa elimu juu ya huo ugonjwa na kama matibabu yake yanawezekana tanzania ama hapa afrika mashariki maana kuna ndugu yangu nahis anateseka nao ugonjwa huo japo watu wengine wote wanaamini wa wa moni wanaamini she's possesed by demons naombeni msaada wakuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app