newmzalendo
JF-Expert Member
- Mar 23, 2009
- 1,385
- 568
- Thread starter
-
- #21
Kweli haya ni mawazo mazuri sani watu mmeanzisha topic kama hizi naamini kuna wengine mna uelewa mkubwa na masuala ya umeme nimefuatilia kwa karibu juu ya hii program ya EWURA ya wafuaji wadogo wadogo wa umeme na kuna bei wameziainisha pale kwa mfano
The proposed Tariff for the year 2011 for the sale of electricity to the Main
Grid in Tanzania
1 megawatt is 1000 kilowatts, and there are 31 x 24 = 744 hours in a month and 1 hr =60X60 sec, so in a month (31 days) we would get (1000X24X31)KWh=744 X103 KWH
That means in a month you obtain 744000kwh X 134.92=100380480.00000TSH/PER MONTH SO THE PROFIT DEPENDS ON YOUR MONTHLY OPERATIONS
Dry Season (August to November) 134.92 TZS/kWh
Wet Season (January to July, and December)101.19 TZS/kWh
Je hizi KWh ngapi ni MW 1?
mfano mtu ana windmill ya MW 1 na anataka kuuza TANESCO je kwa mwezi anaweza kukusanya kiasi gani maana yake pia windmill iko complicated sana na hasa kwenye servises zake nasikia aghali na inahitaji utalaamu
na je kwa maisha ya sasa hii 101.19 TZS/kWh ni sawa au ni bora kufua umeme na kuwauzia kijiji fulani
Ikifanikiwa Serikali itaamua ku impose kodi kubwa upande huo Plus other stringet rules ili kuiokoa Tanesco.Hii ni njema sana wengi wakiamua hivi basi tanesco imekula kwao!
Idea ya kuwa na makampuni mengi ya umeme ni nzuri ila lazima ufikilie implementation zake na maisha ya binadamu kwa ujumla kwa simu iliwezekana kwa sababu yale makampni yanatoa huduma za simu za mkononolakini kwa umeme hauwezi ukatoz mobile electricity unahitaji miundo mbinu mingi zaidi kama nyaya au mistimu ya umeme sidhani kama serikali itaruhusu bararani kuwe na misiimi mingi zaidi ya kampuni tofauti hata hao songas na wengine walifikiria hilo lakini wakajikuta gharama ni kubwa kuliko walivyo zani kwa hivyo tunarudi pale pale makampuni mengi yatakapoongezeka na kutoa huduma zao kwa kuuzia tanesco basi umeme utashuka bei kwani TANESCO itabaki kuwa msambazaji wa huduma wakati makampuni binafsi yatabaki kuwa wafuaji umeme leo hii umeme aghali kwa sababu MW zinazokusanywa ni ndogo kwa hivyo lazima waziuze kwa bei kubwa
Yes it can be done,Kuwa na makampuni ya umeme zaidi ya Tanesco inawezekana kwa maana ya kuhudumia kikanda. Miundombinu ni ile ile, kwa maana kwamba makampuni mengine yatakuwa yanatumia njia za tannesco na tanesco watakuwa wanalipwa rent ya njia zao. Utaratibu huu hutumiwa pia na nchi nyingi, kwani utaona milingoti hiyo hiyo hutumika kwa nyaya za umeme, television cable, na simu.
wakati Tanzania kuna kampuni moja ya Simu (Posta na Simu) ,kufungiwa line ilikuwa dili kama ilivyo sasa kufungiwa umeme na tanesco,walipoingia Mobitel na Tritel,Adesemi (phonebox) watz tukapata nafuu.
Nuwa -Dawasco pia sasa cha moto wanakiona kwani watu wanatumia visima binafsi.
Now its TIME for Tanesco Kuadibishwa.kwani watakosa wateja wengi,hivyo uwezo wa kujiendesha utazidi kupungua,wafanyakazi watapungwa,na watakao baki watakuwa na adabu kama walivyo wa TTCL kwa sasa.
Ewura pia watakosa visijisent via makato ya LUKU.
kama unaweza kununua Gari ambalo every day unalipia mafuta,itakuwa bora uzalishe umeme wako ,then later unanunua gari la umeme,(made in China its around 3000 USD)so u kill 2 birds with 1 stone.
Wadau wa JF
nimeamua kuachana na Tanesco na Bili kubwa za Luku,huduma mbovu ya mgao,usio eleweka,Osterbay umeme haukatiki(nimeona mara 2 mfululizo-u may correct me on this),mgao wa upendeleo.
Umeweza kununua gari ya milioni 5,umejenga nyumba ya millioni 35,Je utashindwa kufunga umeme milioni 2 wa uhakika bila kero za Tanesco.its time to have an Anti-Tanesco system installed in your house
Nimeshatengeneza inverter na battery charging system,kwa sasa ninatumia backup inayochajiwa na tanesco.
Sasa nashughulikia WindMill (kata Upepo) nikishaunga tu kata upepo yangu,nadisconnect Tanesco ,siwataki na siwahitaji Ng'O
Ninapoishi kuna upepo wa kutosha,kwa wale ambao hamna upepo u can hookup a solar pannel.
Nataka ni approach local bank kuona uwezekano wa kutoa mikopo ili niwauzie waTz wenye hasira na Tanesco kama mimi.
How its going to Work:
Unapata mkopo From the Bank ,eg Exim at a reasonable intrest.The Banks pays for the Anti-Tanesco system,then unaletewa na kufungiwa with a guarantee and service agreement,after a month the Bank wanaanza kukukata fedha kidogo kidogo from your salary or ur account
kama utapenda kuwa mmoja wapo tafadhali nitumie PM yenye email yako na mji unaotarajia kufunga Anti-Tanesco System
Nikishafanikiwa nawaandikia Tanesco waje wachukue box lao la LUKU.nawapa talaka ya moja kwa moja.
Nakuunga mkono mkuu kwa utundu wako wa kiufundi.
Mimi pia nimefunga 2 nos 100AH deep cycle batteries zinazochajiwa na a slow charger.Hii ni pamoja na 3000watts inverter inayonipatia umeme wa uhakika kwa masaa mengi tu.Taao zote ,TV , feni(hata AC kwa nusu saa) navitumia kwa kila siku.
Mimi siilaumu TANESCO , tatizo lao wana jiwe shingoni linalowazamisha.
Watanzania tutumie hii teknolojia, matatizo yatufundisha mengi.
NB Ninapoandika hii contribution sina umeme wa TANESCO nyumbani natumia huu wa battery na inverter!