Wambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2011
- 558
- 324
nIMEONA vinega wametoa review ya track zitakazokuwamo kny antivirus volume three kupitia swahilioriginal.com: The Leading Swahili Original Site on the Net ingia humo ndani usikilize hizo ngoma.. naona ruge katukanwa kama kawa.. wanamuita Ruge Kahaba.. kweli hawa jamaa wamemchoka huyu bwana.. kuna mstari mmoja unasikia ukisemwa na bibi kizee kwamba "WE BIBI TWELVE NA MADAM MCHOVU...MNAKUA NA MAMBO YA KIKEKIKE, SI MJE SALUNI TUWASUKE TUPIGE HELA... HAMNA KAZI YA KUFANYA MNABANIA TU WASANII... DUH.. ngoja tuisubiri hii albam aisee.............