Anti wrinkles bora kwa mwanaume ni ipi na ya nchi gani?

Anti wrinkles bora kwa mwanaume ni ipi na ya nchi gani?

Kimla

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2008
Posts
3,810
Reaction score
6,599
Jamani, nataka kujaua ni anti wrinkles products ipi nzuri kwa mwanaume
 
Hautaki kuzeeka au sio, nenda YouTube utapata msaada
 
Tafuta tretinoin, then a dermatologist akuelezee jinsi ya kuitumia according to your skin.
Moisturizer na anti aging nyingi ni overpriced vaseline....

Thank me later!
 
Fanya mazoezi, epuka stress, kunywa pombe kwa kiasi, kula chakula bora kwa wakati.... wrinkles hazitakuhusu....

Nje ya hapo ni upotevu wa muda na pesa.
 
Fanya mambo mengine, urembo waachie dada zako...


Ngoja waje kukupa muongozo...
 
Fanya mazoezi uwe maji kwa wingi na matunda pia..😊
Au tumia tu alovera gel ile 95% to 99%
 
1.Fanya mazoezi angalau 30 minutes kila siku
2. Asubuhi kunywa maji yaliyowekewa ndimu 1 au nusu ndimu
3. Acha matumizi ya vilevi

5. Jitahidi upate unyumba angalau 4 times a week kwa mkeo
6. Hakikisha chakula cha usiku unakula masaa mawili kabla ya kulala
7. Jitahid kunywa juice ya ubuyu hata mara 2 kwa week (unaweza ukanunua unga wa ubuyu ukawa unauchanganya na maji)
8. Kunywa green tea au matcha au walau mara 3 kwa week
9. Kula matunda na mboga za majani kila siku
10. Chukua manjano (unga wa bizari) changanya kwenye maziwa wekea asali uwe unakunywa walau mara 2 kwa week.
11. Ni muhimu kwa mwanadamu kunywa dawa ya kuharisha walau mara 2 kwa mwaka ili kutoa sumu mwilini, kusafisha damu.

12. Juice ya carrot nayo ni nzuri kusafisha ngozi.

GREEN TEA ni anti wrinkle nzuri dunia nzima, unga wake unaitwa MATCHA, icheck google health benefits zake, yani inasaidia sana ngozi kutakata, kuondoa stress, kupunguza bad cholestrol etc
mpigie 0672557221 anauza Matcha hapa bongo.
 
Maisha bwana, mtoto ako asipokua au kuongezeka uzito, unahangaika kwa specialist, ila wewe mzazi matokeo ya ukuaji wako yanapoanza kuonekana, unahangaika tena kwa ma-specialist.
Hata marehemu bi kidude alikuaga bint tena kigori.
 
Back
Top Bottom