Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Msimu wa mvua na baridi huambatana na mafua na kifua. Dalili zinaweza kuanza na homa kali, inayobatana na joto la mwili kupanda.
Ni mazoea ya wengi kutibu dalili hizi kwa antibiotics wakiamini kuwa ndiyo tiba. Antibiotics hupatikana kwenye baadhi ya maduka ya dawa bila kibali cha daktari (prescription).
Mafua na kifua husababishwa na virus si bacteria. Virus ni kiumbe kinachokufa kirahisi sana na kings yako ya mwili ina uwezo wa kupambana nae. HIV virus hujijichanganya na cell za mwili ndiyo maana analeta usumbufu, haya ni mengine.
Dalili za kifua na mafua zinapoanza na homa kali unaweza kujitibu kwa paracetamol mbili za 500gm na kupumzika. Unaweza kuongeza paracetamol baada ya masaa manne kama utazihitaji lakini si kabla ya hapo.
Flu mafua na kifua huchukua siku 21 kupona na mwili kukaa sawa. Usianze kusema Ooh ni wiki ya pili hii ninakohoa ninahitaji antibiotics. Unachohitaji ni chakula kizuri, matunda na maji mengi ya kunywa.
Madhara ya kutegemea antibiotics kwa kila ugonjwa ni kufanya mwili kuwa sugu kwa dawa hizi na pale utakapozihitaji zinashindwa kufanya kazi.