Antibiotics hazitibu mafua, kifua na flu

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Msimu wa mvua na baridi huambatana na mafua na kifua. Dalili zinaweza kuanza na homa kali, inayobatana na joto la mwili kupanda.

Ni mazoea ya wengi kutibu dalili hizi kwa antibiotics wakiamini kuwa ndiyo tiba. Antibiotics hupatikana kwenye baadhi ya maduka ya dawa bila kibali cha daktari (prescription).

Mafua na kifua husababishwa na virus si bacteria. Virus ni kiumbe kinachokufa kirahisi sana na kings yako ya mwili ina uwezo wa kupambana nae. HIV virus hujijichanganya na cell za mwili ndiyo maana analeta usumbufu, haya ni mengine.

Dalili za kifua na mafua zinapoanza na homa kali unaweza kujitibu kwa paracetamol mbili za 500gm na kupumzika. Unaweza kuongeza paracetamol baada ya masaa manne kama utazihitaji lakini si kabla ya hapo.

Flu mafua na kifua huchukua siku 21 kupona na mwili kukaa sawa. Usianze kusema Ooh ni wiki ya pili hii ninakohoa ninahitaji antibiotics. Unachohitaji ni chakula kizuri, matunda na maji mengi ya kunywa.

Madhara ya kutegemea antibiotics kwa kila ugonjwa ni kufanya mwili kuwa sugu kwa dawa hizi na pale utakapozihitaji zinashindwa kufanya kazi.
 
Ni mazoea ya wengi kutibu dalili hizi kwa antibiotics wakiamini kuwa ndiyo tiba. Antibiotics hupatikana kwenye bashful ya maduka ya dawa bila kibali cha daktari (prescription).

Mafua na kufua husanabishwa na virus na si bacteria. Virus ni kiume kinachokufa kirahisi sana. HIV virus hujijichanganya na cell za mwili ndiyo maana analeta usumbufu, haya ni mengine.

Dalili za kifua na mafua zinapoanza na homa kali unaweza kujitibu kwa paracetamol mbili za 500gm na kupumzika. Unaweza kuongeza paracetamol baada ya masaa manne kama utazihitaji lakini si kabla ya hapo.

Fly mafua na kifua huchukua siku 21 kupona na mwili kukaa sawa. Usianze kusema Ooh ni wiki ya pili hii ninakohoa ninahitaji antibiotics. Unachohitaji ni chakula kizuri, matunda na maji mengi ya kunywa.

Madhara ya kutegemea antibiotics kwa kila ugonjwa ni kufanya mwili kuwa sugu kwa dawa hizi na pale utakapozihitaji zinashindwa kufanya kazi.
Mafua huleta mzio (allergic rhenitis), hivyo hutibiwa kwa dalili so mara nyingi huwa tunatibia huo mzio, kwa cetirizine au piriton paracetamol au dawa nyingine ya homa hushusha tu homa
 
Msimu wa mvua na baridi huambatana na mafua na kifua. Dalili zinaweza kuanza na homa kali, inayobatana na joto la mwili kupanda.

Ni mazoea ya wengi kutibu dalili hizi kwa antibiotics wakiamini kuwa ndiyo tiba. Antibiotics hupatikana kwenye baadhi ya maduka ya dawa bila kibali cha daktari (prescription).

Mafua na kifua husababishwa na virus si bacteria. Virus ni kiumbe kinachokufa kirahisi sana na kings yako ya mwili ina uwezo wa kupambana nae. HIV virus hujijichanganya na cell za mwili ndiyo maana analeta usumbufu, haya ni mengine.

Dalili za kifua na mafua zinapoanza na homa kali unaweza kujitibu kwa paracetamol mbili za 500gm na kupumzika. Unaweza kuongeza paracetamol baada ya masaa manne kama utazihitaji lakini si kabla ya hapo.

Flu mafua na kifua huchukua siku 21 kupona na mwili kukaa sawa. Usianze kusema Ooh ni wiki ya pili hii ninakohoa ninahitaji antibiotics. Unachohitaji ni chakula kizuri, matunda na maji mengi ya kunywa.

Madhara ya kutegemea antibiotics kwa kila ugonjwa ni kufanya mwili kuwa sugu kwa dawa hizi na pale utakapozihitaji zinashindwa kufanya kazi.
Mkuu hivi flu na mafua ni tofauti kweli au mi ndo darasa lilipita mbali
 
Tiba ya mafua ni machungwa na jamii yake. Pia tangawizi tu.
Antibiotic ni sumu mbaya sana .
 
Sijawahi wahi meza dawa za mafua..! Sio kama siyapati laa hasha huwa nayapata, sema nimejiwekea kuwa mafuya hayana dawa and so yakija yataondoka kama yalivyokuja tu.. Na kweli ndani ya siku tatu mafua nayo huondoka.!
 
Msimu wa mvua na baridi huambatana na mafua na kifua. Dalili zinaweza kuanza na homa kali, inayobatana na joto la mwili kupanda.

Ni mazoea ya wengi kutibu dalili hizi kwa antibiotics wakiamini kuwa ndiyo tiba. Antibiotics hupatikana kwenye baadhi ya maduka ya dawa bila kibali cha daktari (prescription).

Mafua na kifua husababishwa na virus si bacteria. Virus ni kiumbe kinachokufa kirahisi sana na kings yako ya mwili ina uwezo wa kupambana nae. HIV virus hujijichanganya na cell za mwili ndiyo maana analeta usumbufu, haya ni mengine.

Dalili za kifua na mafua zinapoanza na homa kali unaweza kujitibu kwa paracetamol mbili za 500gm na kupumzika. Unaweza kuongeza paracetamol baada ya masaa manne kama utazihitaji lakini si kabla ya hapo.

Flu mafua na kifua huchukua siku 21 kupona na mwili kukaa sawa. Usianze kusema Ooh ni wiki ya pili hii ninakohoa ninahitaji antibiotics. Unachohitaji ni chakula kizuri, matunda na maji mengi ya kunywa.

Madhara ya kutegemea antibiotics kwa kila ugonjwa ni kufanya mwili kuwa sugu kwa dawa hizi na pale utakapozihitaji zinashindwa kufanya kazi.
mamaa mie nikiwa na mafua nameza citrizen,moja kisha nakunywa maji moto mfululizo bila kikomo mpaka niwe na ahueni............. kifua huwa hakinisumbui mara kwa mara lakini siku kikinikumba ni pen v hakuna namna
 
safi sana Shemeji yangu Mzuri... Ni Kweli hayo magonjwa uliyoyataja Yanajitibu yenyewe na ni kweli mimi ni mmoja wa wahanga wa hayo magonjwa na huwa napoa baada ya siku tano ila Dawa ambayo ni nzuri kwa Kikohozi kikali ni Dr. .... Utamalizia shemeji yangu
 
Sijawahi wahi meza dawa za mafua..! Sio kama siyapati laa hasha huwa nayapata, sema nimejiwekea kuwa mafuya hayana dawa and so yakija yataondoka kama yalivyokuja tu.. Na kweli ndani ya siku tatu mafua nayo huondoka.!
Uko sawa na mimi.
 
mamaa mie nikiwa na mafua nameza citrizen,moja kisha nakunywa maji moto mfululizo bila kikomo mpaka niwe na ahueni............. kifua huwa hakinisumbui mara kwa mara lakini siku kikinikumba ni pen v hakuna namna
Unakipa muda gani kabla ta kunywa pen V?
 
mafua yanavisababishi vingi....ila dalili yake kuku ni kutoka makamasi, wakati mwingine kuambatana na chafya...ni vyema kutambua chanzo cha mafua kabla hujaanza kujitibu. kwa kawaida mtu mwenye afya hupata mafua angalau mara mbili kwa mwaka. hii haina haja ya kumeza dawa zaidi sana kuzingatia lishe nadhani sina uhakika huwa yanafanya kama kuboresha kinga ya mwili.
Pili kuna mafua yatokanayo na allergies hapa ni lazina kuwa makini na mazingira yako mfano inaweza sababishwa na vumbi au pollens za maua, perfumes na vingine the best medicine ni kukaa mbali na chanzo cha mafua yako.Sishauri sana tiba tajwa na mwenye uzi mpaka ujithibitishie kwanza mafua hayo ni yepi..kama ni ya kawaida paracetamol itakusaidia kupunguza homa na maumivu ya kichwa kama ni allergy certizen or piriton itakusaidia kupunguza kero.

Issue ya kifua nayo ni kama mafua na mara nyingi vinaambatana kwa mfano mtu mwenye pumu anaumwa kifua na mafua kila mara huwezi mwambia ameze paracetamol inabidi atumie dawa husika km vile amoxllyn na antibaotics nyingine..atumie aminophylin au salbutamol ingawa siishauri sana.....zaidi sana nashauri sana watu kupenda kuonana na wataalam wa afya kwa matatizo yao hata kama ni ya kawaida kuliko kujimezea midawa utaishia kufa paap! kama ukawa.
 
Umenena vyema common cold haitibiki kwa antibiotics ila inabidi tunywe plenty of enough fluids na mazoezi kwa sana""""

"Bigup miss
 
Mimi hapo kwenye kutumia Paracetamol kwa kutibu flu nakubaliana na wewe,huwa ikinianza natumia dose ya siku zima 2X3 ikifika jioni niko ok,kasheshe huwa kwenye kikohozi huwa ni lazima wiki ipite,haijalishi ninatumia dawa gani..
 
Back
Top Bottom