Antibiotics hazitibu mafua, kifua na flu

Naomba mnisaidie nifanyaje mafua yapone kila siku yapo na mimi na kuziba kwa pua mpaka kichwa kinauma.

Nimeenda hospital mwaka 2013 nikamwona ENT specialist akaniambia niache kunywa maziwa ya ngombe na fresh tomato nimeacha bado tatizo lipo palepale.

Mwaka huu nikaenda hospital tena nyingine wakapima allerg test kwa kifaa kingine wakaona sina allerg. Mwenye uelewa na tatizo hili anisaidie
 
Dah wajameni me kama wiki hivi nakidogo imepita nilikuwa najihisi kichwa kuuma naviungo kuuma nikaenda kwa hsptl kwabahat mbaya nikakuta mtandao wabima unasumbua hivyo sikuweza kupata Huduma ila kutokana namaelezo niliyompatia dokta akanishauri ninunue azuma dozi pamoja napanadol nitumie, nikafanya hivyo nakweli nafuu ikapatikana kidogo ila nilipomaliza dozi nikaanza kuharisha tena kama masihara vile siku yakwanza nikaharisha mara mbili asubuhi nausiku tena choo kingi kile chakupiga kelele nakupumua juu hata mpaka aliyepo njee anasikia siku yapili nikaharisha mara nne uzalendo ukanishinda nikaenda duka ladawa nikawaelezea wakanipatia dawa inaitwa erythromycin nikaanza kuitumia hiyo dawa ila mpaka sasa mabadiliko bado naharisha nikarudi tena pharmacy wakaniambia itakuwa maleria hiyo wakanipa mseto hiyo nijuzi nikaanza kutumia mseto ila chaajabu mpaka hivi sasa nafuu yatumbo bado nambaya zaidi limeanza kuwa linauma nakuuma nawakati mwanzo lilikuwa haliumi ila tu nilikuwa naharisha wajuvi wamambo mnaweza kunisaidia japo kwauzoefu wenu
 
Matatizo umekunywa dawa bila consultation, rudi pharmacy uwakomalie kuwa unataka kumwona pharmasit mwenye lessen hapo ndiyo akupe ushauri.
 
Siku hizi watu wamekuwa wagumu kunywa tangawizi ya kuchemsha, sisi huku shamba hadi leo tunakunywa tangawizi ndio maana mafua hayatusumbui, sio ninyi huko mijini mnakomaa na mi chai[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Matatizo umekunywa dawa bila consultation, rudi pharmacy uwakomalie kuwa unataka kumwona pharmasit mwenye lessen hapo ndiyo akupe ushauri.
Sawa dada acha nifanye hivyo au sijui inaweza kuwa typhod
 
ushauri mzuri sana na hii hali ya hewa. nimecopy huu uzi na kusave sehemu.
 
Nin
Kafanye blood test pia mkuu uyawahi. Kunywa maji uepuke kupungukiwa na maji mwilini
Nina mtoto ana miezi minne mafua Na kukohoa amepimwa hana nimonia nimafua ya kawaida ila anakohoa sana nimepewa cetirizene Na cotrimazole za Maji toka Jana sijaona nafuu anakohoa hatulali ushauri wako please.
 
Hata mafua ya kuku ukiwapa priton wanapona?
 
Mkuu Sky Eclat upo vizuri sana
Mimi huwa situmii dawa kabisaa ila yanapona yenyewe sikumbuki mara ya mwisho niliugua lini mafua.
 
DAWA YA MAFUA NI MATUNDA KAMA LIMAO AMBALO LINA VITAMIN C NYINGI KULIKO TUNDA JINGINE NA IWAPO HALIPATIKANI WAWEZA TUMIA UBUYU,UKWAJU AU CHUNGWA
 
Back
Top Bottom