Antibiotiki Azuma

Antibiotiki Azuma

Salamu Azuma, umejaa tiba,
Uponyaji u nawe.
Umebarikiwa kuliko dawa zote,
na mgunduzi, wa formula yako, amebarikiwa.
Azuma antibiotiki, Mtibu wa magonjwa,
utuponye sisi wagonjwa
sasa na saa ya kuugua kwetu.
Amina.
Inatibu nini?
 
IMG_20240802_173047_659.jpg
 
Back
Top Bottom