Antiobesity drugs.

Hazina madhara Mkuu.nataka nipungue jomoni
Hapana ila ukitaka kupungua fasta (mimi nilipunguza 10kgs kwa mwez mmoja )acha kabisa sukari na vyakula vya wanga ,,acha vyakula vya viwandan na mafuta haya mf. korie ,, ukiwa na hamu na ugali tumia dona,,wali tumia brown rice,, acha matunda yenye sukari kazi ,,kuzuia njaa unawez tumia karanga,almond n.k

Diet inafanya kazi haraka sana kuliko dawa na mazoezi
 
Dawa za Kupunguza Unene na vitambi bado ni Changamotoo hakuna Dawa inayoweza kuwa vizuri sana mpaka sasa... Cha muhimu fanya mazoezi na control diet yakoo...
 
Kuacha kula siwezi kabisa mkuu
 
Dah yani kupunguza uzito ni janga maana kuacha kula au kujicontrol kula sio kama wadau wanavyotiririka kwa maandishi.. ni ngumu sana.
Au kufanya mazoezi kama huna mazoea ni ngum kweli..

Sasa ngoja mtaalam nipige shule baada ya miaka 10 Mungu akijaalia ntawaletea solution ya dawa
 
Nimeenda heko pharmacy nimekosa inamaana mkuu kiongozi kassimneema wewe ni Muongo maana nimetoka morogoro hadi dar kariakooo nimeambulia patupu
 
Eti uache kula.unawezaje eti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…