Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Mwenyewe nafanya ila kuna kuda nikiwa home kale kaharufu ka wali kananipitia wakati mtoto anakula basi na mie napakua kidogo kwenye sahani nakula. Ila diet imenipunguza kiloHapana ila ukitaka kupungua fasta (mimi nilipunguza 10kgs kwa mwez mmoja )acha kabisa sukari na vyakula vya wanga ,,acha vyakula vya viwandan na mafuta haya mf. korie ,, ukiwa na hamu na ugali tumia dona,,wali tumia brown rice,, acha matunda yenye sukari kazi ,,kuzuia njaa unawez tumia karanga,almond n.k
Diet inafanya kazi haraka sana kuliko dawa na mazoezi