Antiobesity drugs.

Antiobesity drugs.

Hapana ila ukitaka kupungua fasta (mimi nilipunguza 10kgs kwa mwez mmoja )acha kabisa sukari na vyakula vya wanga ,,acha vyakula vya viwandan na mafuta haya mf. korie ,, ukiwa na hamu na ugali tumia dona,,wali tumia brown rice,, acha matunda yenye sukari kazi ,,kuzuia njaa unawez tumia karanga,almond n.k

Diet inafanya kazi haraka sana kuliko dawa na mazoezi
Mwenyewe nafanya ila kuna kuda nikiwa home kale kaharufu ka wali kananipitia wakati mtoto anakula basi na mie napakua kidogo kwenye sahani nakula. Ila diet imenipunguza kilo
 
Eti uache kula.unawezaje eti
Watu wanavyotoa ushauri eti "upunguze kula vitu vya mafuta ule mboga mboga" wanadhani ni easy hivyo kuacha kula ni balaa
Yan unaweza kujitahidi siku moja tu ya pili mambo yakakushinda ukajikuta unafakamia nyama ya mbuzi rosti
 
Ahahaaa tule mboga za majani kwani sie mbuzi?
 
Kula mlo kwa mpangilio sio kuacha kula kabisa jizoeshe utaona utapata shida kwa siku 3-4 za mwanzo baada ya hapo utajiona uko sawa kabisa
Mimi saa nyingine hata sina njaa ila uroho unanimaliza. Nikisikia harufu ya wali nakua kama nimetoka Somalia
 
Mimi kitambi changu sikitoi kwa kumeza mavidonge, bali kwa kufanya mazoezi na kufuata kanuni bora za Ulaji wa vyakula.
 
Mwenyewe nafanya ila kuna kuda nikiwa home kale kaharufu ka wali kananipitia wakati mtoto anakula basi na mie napakua kidogo kwenye sahani nakula. Ila diet imenipunguza kilo
Hahhahhaaa dah nisivyopenda harufu ya wali huu wa mbeya nahis ndo nimenusurika hapo
 
Chaaaaa ww hujapatwa n maradhi kwanza hahhahahaaaa mbona utadownload app zote za diet
Nashukuru sijapata ugomjwa na sina unene mbaya basi tu kibonge. Siku kiuni kikiungana na mgongo ndo nitakua siriasi
 
Jaman hizo dawa kwa bongo hazipatikan???? Mwenyekujua basi tusaidiane
 
Back
Top Bottom