Antivirus 26/11/11

Kalila

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2010
Posts
245
Reaction score
58
Haya sasa muda wa kumkomboa msanii ni pale ustawi jukwaa limeanza kufungwa big sound big stage for local artist sio hadi aje fatjoe huu mziki hakuna anayeumiliki tunataka msanii alipwe vizuri, makampuni ya simu yalipie miziki ya wasanii, mil 200 zinazotolewa na wizara kwa chama cha wasanii zionekane nyumba na studio aliyotoa rais zirudi kwa wasanii,katika dunia ya sasa wasanii ndo wanatakiwa waisaidie jamii bt wasanii wa bongo njaa anasubiri shoo ya fiesta apewe elfu 50 akanunue jeans na supra. Wasanii huko mbele hakuna nssf na wala ruge hawezi kukusaidia. Tukutane bamaga ANTIVIRUS WITH NO APOLOGY
 
Tatizo sio Ruge, tatizo ni umbumbu wa wasanii wa kibongo.
 
Tatizo sio Ruge, tatizo ni umbumbu wa wasanii wa kibongo.

Uko sahihi mzee ruge yupo kati anawagawa na kuwapa vitisho wasanii i mean anataka awamiliki na wasanii wanapenda movement ila wanamuogopa coz yeye ana watu ikulu so wasanii wanahofia atawanyima promo
 
Uko sahihi mzee ruge yupo kati anawagawa na kuwapa vitisho wasanii i mean anataka awamiliki na wasanii wanapenda movement ila wanamuogopa coz yeye ana watu ikulu so wasanii wanahofia atawanyima promo

hebu nieleze ikulu inahusika vipi kuwatisha wasanii wa kibongo.

Hivi kweli ikulu wanamuda na mtu kma Diamond, Mapacha, BDP n.k?
 
Clouds coverage yake ni kubwa, pia ni watu walioamua kujikita kwenye biashara ya music.

Mfanyabiashara yeyote lengo lake ni kupata faida kwa njia yoyote ile.

Anyway,
Tanzania, media zipo nyingi. Msanii sio lazma apate airtime ndani ya clous. Kwanini hao vinega hawapati airtime hata kwenye hizi media nyingine?. Hapa kuna swali? Je ruge anamiliki media zote Tanzania?.

Swala linalowapoteza wasanii wa zamani ni ubunifu zero. Wanashindwa kuwasoma customer wao wanataka nini?.


Kama wameshajua kuwa Ruge anawanyonyo hakuna haja ya kumtungia nyimbo za matusi. Matusi hayatasaidia kutatua tatizo.

Ushauri.
Wanapaswa kuandaa kampuni mf. Deiwaka ambayo itakuwa ina ratibu show za wasanii. Pia swala la kuelimishana ni la msingi zaidi.

Hitimisho.
Mapinduzi hayaji kwa matusi.
 

Mazee uwe mpole tu! Ndiko Mr. II anakoelekea, msitu unaingiwa moto zama za Wafu FM kunyanyasa wasanii zinapotea!

Sugu moto chini!
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…