Clouds coverage yake ni kubwa, pia ni watu walioamua kujikita kwenye biashara ya music.
Mfanyabiashara yeyote lengo lake ni kupata faida kwa njia yoyote ile.
Anyway,
Tanzania, media zipo nyingi. Msanii sio lazma apate airtime ndani ya clous. Kwanini hao vinega hawapati airtime hata kwenye hizi media nyingine?. Hapa kuna swali? Je ruge anamiliki media zote Tanzania?.
Swala linalowapoteza wasanii wa zamani ni ubunifu zero. Wanashindwa kuwasoma customer wao wanataka nini?.
Kama wameshajua kuwa Ruge anawanyonyo hakuna haja ya kumtungia nyimbo za matusi. Matusi hayatasaidia kutatua tatizo.
Ushauri.
Wanapaswa kuandaa kampuni mf. Deiwaka ambayo itakuwa ina ratibu show za wasanii. Pia swala la kuelimishana ni la msingi zaidi.
Hitimisho.
Mapinduzi hayaji kwa matusi.[/QUOTE
]
Ama kweli umechelewa kutambua na kufunguka kifikra, kama wasanii wa zama,I wameishia hawana uwezo, iweje wasanii hao hao akina afande sele, manzese crew, lwp, solid ground family na gangwe mobb wamewaita dakika za lal salam kwenda kuperfom kwenye show zao..
Niambie kabla ya sugu kusema jamaa watakuwepo kwenye anti virus uliwahi kuwasiki wafu fm wakipiga nyimbo zao? Je km km hawana uwezo imekuaje wawaite wakafanye show kwa nyimbo za miaka ya nyuma? Si wawatumie wasanii wao wenye nyimbo mpya tuone km kweli wanawez.
Wafu fm wamedhihilisha kwmb hao wasanii waliowaita dakika za mwisho wana uwezo mkubwa kuliko wanaowabeba wajuzi juzi wenye track 1