i-copy halafu paste kwenye browserImegoma kufunguka kwangu!!
Haaa jamaa kama kujisaidia basi kaharishaaaa!
Tunaomba tuandikie baadhi ya mistari aliyowachana Clouds mkuu, kwangu hiyo link haifunguki!!
naamini hapa ni nyumbani kwa watu wanaoaminika kwa kuchambua na kudadafua isues mbalimbali, em tuusikilize huu wimbo kama ulivyo then tuuchambue, je ni kitu gani kimetokea mpaka king wa hii fani ya rap akaamua kuwatungia wimbo?? je yaliyomo huko ni kweli?? najua watu kama kina nguli wakali wa mistari watachangia ipasavyo...halllah...
nimeshindwa kufungua hiyo link........
sawa kaka nimekulewa ilijadiliwa kabla au baada ya kuwatungia wimbo??? manake huu wimbo mi ndo nausikia leo man..au nimepitwa na matukio nini...???