Antivirus MixTape: Sugu awachana Clouds FM

Antivirus MixTape: Sugu awachana Clouds FM

tena anajibu kwa mbwembwe zote

Hahahahahahahaha. Kwani kuna ubaya gani kujibu swali la historia? Najua mnaumia mkiona nyuzi kama hizi kwani kipindi kile cha bifu nyie ndo mlikua wachochezi wa kuni. Mjomba wenu sugu akalambishwa mchanga wa karatasi akanywea aibu ikabaki kwenu wapambe nux.

Aibu yao,aibu yenuuu????
 
Duuh...! wanasema sio vizuri kufukua Makaburi, ila hii haina jinsi....!

Ni sawa na Serikali kuhitaji eneo la Maziko, kwa nia ya ama kupitisha Bomba la Maji, au kujenga Hospitali (yote ni kwa nia ya masilahi ya nchi, sio wafu).

Nimeifikiria hii issue na kuifukunyua, kwani wapo wanaosema, nyuma ya pazia, kulikuwa na biashara ya Unga.

Na wagomvi wawili Sugu na Ruge, ndio walikuwa wahusika..!!

Tujaribu kufuatilia na kudadisi hili kwa kina, tuweze kujua ukweli.

Sent from my SM-A500F using JamiiForums mobile app
 
Kuna maneno ambayo yanagusa sana hapa moja kwa moja:
  • Machoko maghorofani
  • Mbona mna wachapa nao na kuwapa mimba
  • Wanawapa mimba
  • Kibonde anatukana watu hovyo redion, hana akili kichwani, ana sambaza "ngoma" makusudi mtaani.
  • Kujipendekeza kwa Rais
  • Redio imejaaa mashoga
  • Watangazaji wanaliwa kama mboga
  • Watangazaji "under paid"
  • Kuwabana machizi, machizi hawana njaaa kuliko ninyi..
Hyo ngoma mbona ni yakitambo sana!

Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
 
ukifa yanazungumuzwa mazuri tu, mbona ruge ameonekana msafi sana kama, au hayakua ya kweli?
 
Back
Top Bottom