Masikini_Jeuri
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 6,829
- 1,303
na mimi natangaza nia, yeuuui
lol, sasa hujaelewa nini? Wewe sema tu kwa mdomo mpana kwamba hukubaliani na maoni yangu. Inaruhusiwa!
Usanii gani wa kulialia na kusutana kwa maneno ya kihuni? Ukonga inamsubiri. Kura za ubunge atazifanyia kampeni humo humo ndani kwa staili ya kushika ukuta.
Luteni si anasema sina hoja..twi twi twi..Ingekuwa 'maoni' pengine ningeelewa...lakini niliamini unatoa 'hoja'!
Luteni si anasema sina hoja..twi twi twi..
Yaonekana unaijua sana hii fani ya kushikishwa huko sello;:mmph:
Unaweza ku substantiate unayosema au kwa vile kumbukumbu kichwani zinakuambia Luteni ni Chadema, NO, the problem unataka kulazimisha unavyotaka wewe iwe wakati sheria haziendi hivyo, tumekuuliza atashitakiwa kwa sheria ipi ukasema sheria ya katiba, ukasema tena unataka atiwe hatiani ili asigombee ubunge basi tumekuelewa tusubiri mahakama ya katiba imutie Sugu hatiani, Best wishes.Unaigeuza scenario ki-chademachadema hilo ndio tatizo lako.
Hapana .. ni vidole vina grisi.Labda kwenye hili ulimi wako uliteleza tu..... kwi kwi kwi......!
Wapi nimesema Luteni ni Chadema?Unaweza ku substantiate unayosema au kwa vile kumbukumbu kichwani zinakuambia Luteni ni Chadema, NO, the problem unataka kulazimisha unavyotaka wewe iwe wakati sheria haziendi hivyo, tumekuuliza atashitakiwa kwa sheria ipi ukasema sheria ya katiba, ukasema tena unataka atiwe hatiani ili asigombee ubunge basi tumekuelewa tusubiri mahakama ya katiba imutie Sugu hatiani, Best wishes.
chadema ikimsimamisha mtu kama sugu kugombea ubungo nitashangaa sana
yaani mtu kafika kutukana watu wazi wazi (kaita watu mashoga, na wengine kusema wanaeneza ngoma)........
hana nidhamu za kuwa mbunge ......tafadhalini chadema msiweke mtu huyu
Unauliza jibu? ni mmoja wa wale wale waliopanga mipango ya kumkamata sugu. ehehehahahahahahaha nimegundua tokana na maandiko yake. Lakini hiyo ni kujidanganya tu. Haki za sisi m zina mwisho wake maana twaenda kujilipiza kwenye kisanduku kile cha plastic october 31 2010 mkuu Abdulhalim.we ni ccm nini?
Hold on Abdulhalim,Unaigeuza scenario ki-chademachadema hilo ndio tatizo lako. Mi naongea from neutral point of view kwamba hata kama mtu unadai haki hutakiwi wewe mdai uanze ku-attract attention mbaya kwa kutukana watu na kutoa kauli ambazo zinaweza kukuletea matatizo. Huo ndio mtizamo wangu na any fair and logical human being I believe shouldn't have difficulty to understand that..kwamba hoja zake angeweza kuzitafutia platform ya kisanii au vyovyote lakini akachagua presentation au PR yenye akili na ujumbe ukafika.
Narejea tena, Sugu kama washtaki wake wako serious wanachukua hii kitu kwa 100%.thats my belief, kwa wale wengine wote, siasa zenu uchwara ziheshimu sheria za nchi, maana sisi wengine hatuzifagilii wala nini. Sheria ni msumeno na kila mmoja ni mteja regardlessly. PERIOD.
Hold on Abdulhalim,
Nadhani kama unataka kuwa fair na kuona maneno ya Sugu yamekukeleketa kiasi hicho tafadhali nenda kamkamate kwanza John Komba wa chama chako cha sisi m kwa wimbo wake ule kwamba wapinzani wachinjwe na kuuwawa alioutunga na TOT. Si unaukumbuka? Kila uchaguzi wanazipiga hizi! Polisi hawaoni hizo ni hatari wala kutishia kuua. Maana zimeimbwa na mabwana wao siyo?
Kama huwezi fanya hivyo ondoa bla bla kwenye thread hizi hapa. Period.
Maumivu ya kichwa huanza polepole..mwishowe mgonjwa huishia Mirembe.Unauliza jibu? ni mmoja wa wale wale waliopanga mipango ya kumkamata sugu. ehehehahahahahahaha nimegundua tokana na maandiko yake. Lakini hiyo ni kujidanganya tu. Haki za sisi m zina mwisho wake maana twaenda kujilipiza kwenye kisanduku kile cha plastic october 31 2010 mkuu Abdulhalim.
Jamani tunaomba mtuwekee maneno ya wimbo huu mnaoita ni wa matusi hapa ili tuufanyie judgement ya haki. Maana nadhani wengi tunachangia bila wimbo wenyewe kuujua wala kujua maneno yake. mwenye kuyajua maneno yaliyotumika atuwekee hapa wakuu. Ili tufanye fair judgement.ujumbe wa Mr. II ungefika penyewe bila kutumia matusi na defamatory statements. Ni vibaya kutumia uhuru wa kuongea kumtukana mwenzako. Ujembe waweza fika bila matusi.
Mara tu yamekuwa matusi?!Maumivu ya kichwa huanza polepole..mwishowe mgonjwa huishia Mirembe.
Nadhani kuniita mimi ni CCM ni sawa na kunitukania mama yangu hadi ardhi ninayoikanyaga. Hivo wewe ndio umenitukana!Mara tu yamekuwa matusi?!
Ubarikiwe ndugu kwa matusi yako! Mimi sina muda wa kutukanana. Nimesema ukweli na sidhani kama unanitendea haki kwa kunitukana.