Antivirus MixTape: Sugu awachana Clouds FM

tena anajibu kwa mbwembwe zote

Hahahahahahahaha. Kwani kuna ubaya gani kujibu swali la historia? Najua mnaumia mkiona nyuzi kama hizi kwani kipindi kile cha bifu nyie ndo mlikua wachochezi wa kuni. Mjomba wenu sugu akalambishwa mchanga wa karatasi akanywea aibu ikabaki kwenu wapambe nux.

Aibu yao,aibu yenuuu????
 
Duuh...! wanasema sio vizuri kufukua Makaburi, ila hii haina jinsi....!

Ni sawa na Serikali kuhitaji eneo la Maziko, kwa nia ya ama kupitisha Bomba la Maji, au kujenga Hospitali (yote ni kwa nia ya masilahi ya nchi, sio wafu).

Nimeifikiria hii issue na kuifukunyua, kwani wapo wanaosema, nyuma ya pazia, kulikuwa na biashara ya Unga.

Na wagomvi wawili Sugu na Ruge, ndio walikuwa wahusika..!!

Tujaribu kufuatilia na kudadisi hili kwa kina, tuweze kujua ukweli.

Sent from my SM-A500F using JamiiForums mobile app
 
Hyo ngoma mbona ni yakitambo sana!

Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
 
ukifa yanazungumuzwa mazuri tu, mbona ruge ameonekana msafi sana kama, au hayakua ya kweli?
 
Nadhani kuniita mimi ni CCM ni sawa na kunitukania mama yangu hadi ardhi ninayoikanyaga. Hivo wewe ndio umenitukana!
tangu 2010 watu hawataki itwa wana lumumba nimecheka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…