Kwan kutiana mpaka uwe na akili zipi,akili zangu anazihitaji zinamsaidia nin [emoji38]
Yupi huyo mdogo wanguStargirl,mbona mdogo wako ni mchumba demu wangu, usituhalibie yetu bhaana -kaa mbali na Nugaz wako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mm sura Yangu kama uyo jamaa fanya tuyajenge pmYupi huyo mdogo wangu
Eti huyu Kaka ameoa wakuu ,,,nauliza tu maana wanaume wa humu huwa hampendi hizi story
Ni kwamba anavutia nna mdogo wangu ningependa awe nae
View attachment 567847View attachment 567848
Mtanga Mwenzangu kadondokewa teh teh teh! Njooni wapo wengi zaidi ya Nugaz
Sent using Jamii Forums mobile app
wanatia kinyaa wanaume weupeKwani huo uweupe wake ndiyo unakusugua Mbunyeni?
Hajaoa ,nimemaliza nae Usagara Tanga wataka nikupe namba yake, au wewe ndio Nugaz unajipromo
Uhuru atosha
ndiyo mkuu hawanivutii japokuwa kaka zangu weupe wengiMmmhhhh
Akili yako ndio imejijengea hivyo lakin wala
hata sijuiKwani hakojoi madhiwa / wazungu?
sawa mkuuNdio nasema rangi zote wako poa hata wazungu,