Antoni Nugaz wa Clouds ameoa?

Antoni Nugaz wa Clouds ameoa?

Maana yake nini

Nina siku Nne ( 4 ) toka nitoke kula BAN hivyo vuta subira kidogo angalau Jamvi linizoee. Bora uwekwe rumande Central au ufungwe tu Segerea ujue moja kuliko kula BAN ya JamiiForums kwani inauma na inatesa. Mkuu mtafute Mtu wa Pwani atakupa maana ya hiyo bhana tusichoshane au kama vipi pambana tu na hali yako!
 
Aaaaa jamanii
 
Sijui nani kamuiba katoweka kila sehemu sio humu wala kwingine
Si na yule wangu kapotea,,basi sie hatuna hiyana ,,,wakija watatukuta penzi moto moto,,,ole wako ukirudiee
 
[emoji3][emoji3] huo mkwara toto unanichimba mimi....
Sasa unataka mkwara ganii,,,hutaki ukweli,,,kama mauno nami nnayo ya kutosha hata ukitaka ya mauno ya uzazi ntakupa,,,tupambane na hali zetu
 
anakuvutia wew na c mdogo wako tuma maombi yako binafsi muelewane wenyew
 
anaitwa juma bakari hiyo antonio nugaz ni ya kujipachika na siku ile pale magomeni wakati kuna operation ya kivita kumshika yule drug dealer kwenye kile kiwanda chake cha kupack madude meupe alifanikiwa kuruka ukuta na kusepa akiwa na yule marehemu bondia aliyeuliwa kwa kupigwa mawe
Duh!!!

-Ndumilakuwili-
 
Duh! haya ndio mambo ya jumanne kabwela (jimmy Kabwe )
 
anaitwa juma bakari hiyo antonio nugaz ni ya kujipachika na siku ile pale magomeni wakati kuna operation ya kivita kumshika yule drug dealer kwenye kile kiwanda chake cha kupack madude meupe alifanikiwa kuruka ukuta na kusepa akiwa na yule marehemu bondia aliyeuliwa kwa kupigwa mawe
Haha mkuu eti Juma nani??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom