Antoni wa nini... njoo kwanguNdio nasema rangi zote wako poa hata wazungu,
Maana yake nini
Aaaaa jamaniiNina siku Nne ( 4 ) toka nitoke kula BAN hivyo vuta subira kidogo angalau Jamvi linizoee. Bora uwekwe rumande Central au ufungwe tu Segerea ujue moja kuliko kula BAN ya JamiiForums kwani inauma na inatesa. Mkuu mtafute Mtu wa Pwani atakupa maana ya hiyo bhana tusichoshane au kama vipi pambana tu na hali yako!
Sijui nani kamuiba katoweka kila sehemu sio humu wala kwingineAnton wa dogo bana,,,sasa yule wako umemuacha maana mbinafs napenda kula peke yangu
[emoji3][emoji3] huo mkwara toto unanichimba mimi....Si na yule wangu kapotea,,basi sie hatuna hiyana ,,,wakija watatukuta penzi moto moto,,,ole wako ukirudiee
kaoa temeke ana mke toka mwaka majuzEti huyu Kaka ameoa wakuu ,,,nauliza tu maana wanaume wa humu huwa hampendi hizi story
Ni kwamba anavutia nna mdogo wangu ningependa awe nae
View attachment 567847View attachment 567848
Ha ha ha! mathna eeeh!Vyovyotee
Ha ha ha! mathna eeeh!Vyovyotee
Duh!!!anaitwa juma bakari hiyo antonio nugaz ni ya kujipachika na siku ile pale magomeni wakati kuna operation ya kivita kumshika yule drug dealer kwenye kile kiwanda chake cha kupack madude meupe alifanikiwa kuruka ukuta na kusepa akiwa na yule marehemu bondia aliyeuliwa kwa kupigwa mawe
Duh! haya ndio mambo ya jumanne kabwela (jimmy Kabwe )anaitwa juma bakari hiyo antonio nugaz ni ya kujipachika na siku ile pale magomeni wakati kuna operation ya kivita kumshika yule drug dealer kwenye kile kiwanda chake cha kupack madude meupe alifanikiwa kuruka ukuta na kusepa akiwa na yule marehemu bondia aliyeuliwa kwa kupigwa mawe
Haha mkuu eti Juma nani??anaitwa juma bakari hiyo antonio nugaz ni ya kujipachika na siku ile pale magomeni wakati kuna operation ya kivita kumshika yule drug dealer kwenye kile kiwanda chake cha kupack madude meupe alifanikiwa kuruka ukuta na kusepa akiwa na yule marehemu bondia aliyeuliwa kwa kupigwa mawe