Tetesi: Antonio Conte anahitaji saini ya Ademola Lookman, kwenda kuongeza nguvu ndani ya Napoli

Tetesi: Antonio Conte anahitaji saini ya Ademola Lookman, kwenda kuongeza nguvu ndani ya Napoli

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
KOCHA wa Napoli, Antonio Conte, amewasilisha jina la mshambuliaji wa Atalanta na timu ya taifa ya Nigeria, Ademola Lookman, kwa mabosi wa timu yake na kutaka staa huyo mwenye umri wa miaka 27, asajiliwe katika dirisha hili.

Conte anahitaji huduma ya Lookman kwa ajili ya kuboresha zaidi eneo la ushambuliaji la timu hiyo kuelekea msimu ujao ili kuhakikisha wanatetea taji lao.
1751561384856.png
 
Ukiwa na kocha kama konte hutakiw kuwa bahir
 
hilo ni garasa, harakati nyingi tu za bure. wasipoteze Hela
 
Back
Top Bottom