Antonio Conte ateuliwa kocha mpya Totenham

Antonio Conte ateuliwa kocha mpya Totenham

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hii ndio Taarifa iliyotolewa na Club hiyo ya soka ya London , inasemekana amepewa mkataba mfupi wa mwaka mmoja na nusu , huku akiongezewa kitita cha paundi mil 100 kwa ajili ya kuboresha kikosi chake hapo January 2022

CONTENHO_ndani_ya_SPURS_%0A%0AHaya_sasa_tuone_ile_%0A%0A3-5-2_kama_alipokuwa_Inter_%0A3-4-2-1_...jpg
 
Namtafuta mganga wa Ole Sabaya. [emoji23] makocha wote wanaotajwa kuongoza mbio za kumrithi wanawahi kupata kazi zingine i.e Pochettino na sasa Conte
 
Manchester untd bado tuko na ole tu

Ole hana shida,,,shida iko kwa wachezaji, man u inawachezaji wa4 wazuri Pogba, Fernandez, baily na cavan. Semaa muunganiko hakunaa,,,kule mbele mijitu inasubiri imegewe .,, kwa jinc nirivyotazama mechi ya jana kama ni MESSI angedribble na kufunga mengi sana.
 
Hii ndio Taarifa iliyotolewa na Club hiyo ya soka ya London , inasemekana amepewa mkataba mfupi wa mwaka mmoja na nusu , huku akiongezewa kitita cha paundi mil 100 kwa ajili ya kuboresha kikosi chake hapo January 2022

View attachment 1995901

Safiiii,,,Newcastle wafanye yao,,,timu inayomirikiwa na tajili ka yule ni aibu kushuka dalaja
 
Mkuu ulibadilishaga simu? Kwasababu hutumiagi tena hii imoji [emoji117][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Naingia JF kwa simu 4 tofauti au sometimes pc , sasa sijajua hiyo iko kwenye simu ipi
 
Back
Top Bottom