Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Man utd ni Kama Smelter nw hatuchagui ukija tunakuchenjua tuuSawa.hamjakutana na timu bado.tumu yenu mbovu.hizo mbwembwe za mechi ya kwanza siziwambivishe vichwa mtakuja kupoteana.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1] [emoji1] [emoji1] real madrid.nyie wasahaulifu sana.juzi tu mmetoka kuchenjuliwa
Nimemshukuru tu na kumpa ushauri kama anaupenda ugali wake...We mleta mada hebu tuacheni na Timu na kocha wetu bhana, hangaika na Timu yako na kocha wako, nani kakuambia huyo kocha wako hana mapungufu? ?? Hebu punguzeni midomo mirefu hv ikatokea tumefungwa games tano mfululizo itakuwaje humu? ?
Mimi sijaona ubovu wa chelsea.matic ameshachoka.hizo mbwembwe za mke mpya.anazozionesha matic sizikutishe.Waliomuuza Matic (very stupid move....) ni wenye team. Hata ukimsikiliza Conte kwenye interviews anakuwa mkali sana akiulizwa hilo swali. Kwanza huwa halijibu, anaishia kusema tu kawaulize Club.
Mechi ya kwanza, well, was just bad luck. With 9 men, the boys did their best. Ubingwa itakuwa ngumu but nothing is won or lost yet.
Ila jana kiongozi ulihesabu lakini,magoli ya kila namna Vichwa,Long range shoot daaa,Vijana walitaka kumstaafisha Zabaleta
[emoji23][emoji23] baelezeebora ungekua moto wa kawaida ni moto wa makaa ya mawe au smelter ukigusa tu lazima jeraha
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa huyo mzee zabaleta.ndo mnajisifu mmemtesa[emoji1] [emoji1] [emoji1] .acheni mambo yenu.ligi bado.tusubiri mcheze na timu zote 19.ndo tutajua man u.ipo kwenye kiwango ganiIla jana kiongozi ulihesabu lakini,magoli ya kila namna Vichwa,Long range shoot daaa,Vijana walitaka kumstaafisha Zabaleta
Sent using Jamii Forums mobile app
Abromovich naona anamchek.kwa jicho kaliTumwombee Baba Conte naye anafamilia anahitaji mkono uende kinywani ila ana kazi ngumu alooo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sizitaki mbivu hizi ila chelsea mpo na historia ya kutuuzia wachezaji wazuri kama ni gari lina km chache Cc Juan mata,Huyu Matic kawapa ubingwa msimu uliopita leo mke mpya Daaa chelsea bana.Mimi sijaona ubovu wa chelsea.matic ameshachoka.hizo mbwembwe za mke mpya.anazozionesha matic sizikutishe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hajachoko kihivyo. Uliona game alilopiga kule kwa jirani? Harafu unaanzaje sasa kumuuzia kifaa your direct competitor? Wenger pamoja na udhaifu wake, hafanyagi huo ujinga. Harafu sasa unauza mtu huku the so called replacement yake yuko wodini akitibu majerahaMimi sijaona ubovu wa chelsea.matic ameshachoka..
Hizo mbwembwe za mwanzo wa msimu hazinipi shida.matic gari la mkaa.trip moja shamba,ya pili gereji.Sizitaki mbivu hizi ila chelsea mpo na historia ya kutuuzia wachezaji wazuri kama ni gari lina km chache Cc Juan mata,Huyu Matic kawapa ubingwa msimu uliopita leo mke mpya Daaa chelsea bana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo yote unasema sababu tumefungwa juzi ama?costa alianza kuzingua mwenyewe tutamlazimisha?Hajachoko kihivyo. Uliona game alilopiga kule kwa jirani? Harafu unaanzaje sasa kumuuzia kifaa your direct competitor? Wenger pamoja na udhaifu wake, hafanyagi huo ujinga. Harafu sasa unauza mtu huku the so called replacement yake yuko wodini akitibu majeraha
Ngoja Tottenham nao waje kuchomoa nondo pale Darajani. Board ya Chelsea very incompetent. Hapo bado wachezaji wana bifu jinsi mwenzao jembe Costa alivyokuwa treated. Na yupo sasa anatishia kung'ang'ania pale ili amwage sumu vizuri.
mdogo mdogo mpaka tunanyanyua ndoo mnabaki kusema gari la mkaa umeona jana lakin jana anzia kuwapunguza akina Masuaku mpaka Pasi mbinuko alikua anapiga.Hizo mbwembwe za mwanzo wa msimu hazinipi shida.matic gari la mkaa.trip moja shamba,ya pili gereji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chelsea Tunabahati nao Mata,Matic sijui mwakani watatupa naniHajachoko kihivyo. Uliona game alilopiga kule kwa jirani? Harafu unaanzaje sasa kumuuzia kifaa your direct competitor? Wenger pamoja na udhaifu wake, hafanyagi huo ujinga. Harafu sasa unauza mtu huku the so called replacement yake yuko wodini akitibu majeraha
Ngoja Tottenham nao waje kuchomoa nondo pale Darajani. Board ya Chelsea very incompetent. Hapo bado wachezaji wana bifu jinsi mwenzao jembe Costa alivyokuwa treated. Na yupo sasa anatishia kung'ang'ania pale ili amwage sumu vizuri.
Hazard na Willian
Uingereza wachezaji wanakiburi kama nini na migomo ni nje nje huchelewi kuanza kusikia Cahil anaanza kujifungaUyu jamaa nahisi ujeuri na ubinafsi wa kujijua ndio kila kitu kitamgharimu.
Maana asinge gombana na costa au matic wakati hana mbadala wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa.bakisha na maneno ya kesho.mdogo mdogo mpaka tunanyanyua ndoo mnabaki kusema gari la mkaa umeona jana lakin jana anzia kuwapunguza akina Masuaku mpaka Pasi mbinuko alikua anapiga.
Matic alimpunguzia kazi sana Ngolo Kante sasa Fabregas mwenyewe hawana maujuzi ya kuharibu mipango miji tumsubiri huyo wakuitwa Bakayoko
Sisi tayari ukija kwa juu unakutana na baba Fellaini ukija kwa chini unakutana na mzima mitambo Matic.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa sawa naona unapenda kutumia mfano wa mke wakati Matic tayari kasaidia timu yake kupata goli 4 na pointi 3Sawa.bakisha na maneno ya kesho.
Huyo mke mpya.siku za mwanzo atakufanyia kila kitu,mpaka useme mke si huyu.
Sent using Jamii Forums mobile app